Haya jamani kwa wana blog ambao walikuwa wanashangaa huyu mtu kapotelea wapi...???Basi ondoeni wasiwasi nilikumbwa na matatizo ya Rita..
Nasema tena haya mambo ya mvua za ughaibuni na upepo na vimbunga hivyo..Niliviona huku niliko.Almanusura maji yazidi unga .
Nina mengi ya kusema na kuandika ...Ndio kwanza huku mambo yamerudi kwenye mstari rasmi leo.
2 comments:
Pole sana kwa Rita...mnapaswa kuombea nchi, mara katrina, mara ophelia, mara rita, mara moto kule california...
Pole dada. Karibu tena
Post a Comment