Pages

Thursday, June 23, 2005

Nimerudi!!!

Ngiletrondokia mfiri so siliso enda ...Ilikuwa ni katika harakati za kukimbizana na vitabu vya majira ya joto...Sikujua kuwa ingekuwa hivi...
Nimefurahi leo, narudi nakuandika...Joto limeshakuwa kali...foo njaa kwetre muu...irike...
Kwa wale waliodhani nimeingia mitini Nimerudi niko kamili....

1 comment:

Ndesanjo Macha said...

Aisee za masiku? Nitaandika. Siku nyingi kweli.