Pages

Wednesday, April 26, 2006

motro uliaka!

Uwongo si kazikutugwa na hata mtu kuandika lakini leo nimekubali....ni muda mrefu sijawajulia hali ndugu ,jamaa, marafiki,wanafikina ,waungwana na hata maadui,Hawa wote huwa tunakutana katika haya makazi yasiyokuwa na mipaka.
Ndesanjo naona moto wa blog unawaka moto wa kasi mithili ya nyumba ya nyasi(Ngaamba fulu suti mmba sa kulya mndeni oh manya mmba sa haa uenini sejengwa kwa mfiri saba na iingua kwa dakika tanu.UUh ngaamba ngiliisha se iblogu..ngebaki nyuma foo laiki ikoti...
karibuni wooose fuu mmba!

3 comments:

Ndesanjo Macha said...

Moto unawaka. Na utaendelea tu. Mzima?

mloyi said...

moto umewaka kweli na cha kwanza kuungua ni nyumba yako! unalala wapi siku hizi? Hata vijiweni kututembelea hutaki?
Haya, nyumba imeshaungua una mpango gani wa kuijenga upya?au umeizira? lakini sisi bado tunaiona.

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.