Pages

Monday, November 14, 2005

Sema utakacho.

Mfiri n'ganyaa fo nyumaa nilikuwa natembelea blogu mbali mbali na kuangalia nini hasa kinaongelewa na nini hasa, nani anajisikia kuandika nini.
Nilifurahi sana na dhani nilitumia muda wa masaa mawili tu kusoma nini wanablogu kama mimi wanasema na kujifunza.
Siku kadhaa niliahidi nitaandika kuhusu televisheni.Laah leo nimepata zuri zaidi lipi hilo.
Nimeingia katika fani ya afya.Nilikuwa nasoma kuhusu mkojo na tiba zake.Ahh ni mengi nitaandika tena .Bado nasoma makala tofauti tofauti kupitia wandishi tofauti na kurasa tofauti za mtandao.

2 comments:

Ndesanjo Macha said...

Tiba ya mkojo hiyo inapanda chati sana. wengine wanaiita euro dose. Najua Nehru, yule waziri mkuu wa india alikuwa akijulikana kwa kunywa mkojo wake!

mloyi said...

tunasema tukiwa macho, Je wanatusikiliza? tunawafikia? maswali makubwa.