Hivi ndivyo navyoaanza kwa kusema....hayawi hayawi yamekuwa...nimeingia rasmi katika ulimwengu wa kublogu...kazi kwenu..
Je unajua utakuwa unapata nini hapa??????? Mchanganyiko wa mawazo,maoni,utafiti na mengineyo katika lugha mbili tofauti..nikimaanisha kichagga na kiswahili..Mtu kwao!!!Jivunie ulichonacho ....kabla hakijaondoka .Na kwa kuanza kabisa tunaanza kufungua mawazoo na kuweka Ukweli mbele na kuondoa fikra za "hatuwezi,siwezi,"Na kufahamu wewe ni nani.
Ngaaamba see...ife ni nifi?
2 comments:
Karibu dada yetu. Twanga lugha mradi ujumbe ufike. Nani kasema kichaga hakitakubalika mtandaoni? tumia kila mbinu, kila lugha kufikisha ujumbe.
haya ni mapinduzi makubwa Mathawe, hakika mapinduzi ya aina yake na kwa utaratibu huu, duh!! natamani ningekuwa mganga wa kienyeji nitabiri tutakuwa wapi (Watanzania), baada ya miaka kadhaa ijayo.
Karibu
Post a Comment